Isaiah 12:4

4 aKatika siku hiyo mtasema: “Mshukuruni Bwana, mliitie jina lake;
julisheni miongoni mwa mataifa yale aliyoyafanya,
tangazeni kuwa jina lake limetukuka.
Copyright information for SwhKC